Asante kwa nia yako. Usajili wa msimu huu umepita rasmi. Ili usipitwe na msimu ujao (Next Season) weka nafasi yako mapema (Keep your spot), tafadhali wasiliana nasi moja kwa moja.
📣 Habari Njema! Tutawatangazia msimu mpya hivi karibuni. Endelea kutufuatilia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili kupata taarifa mapema kabisa!